KAZI KWA NYOTA YA MIZANI (GS).
Автор: Mgeta official
Загружено: 2024-09-05
Просмотров: 2861
Katika video hii tutajadili shughuli zote wanazopaswa kufanya watu wenye nyota ya mizani, ambao majina yao yanaanza na herufi (G) au herufi(S).
Katika video zilizopita tulijadili kwamba nyota ya mizani inapatikana katika bara la magharibi ambalo asili yake ni upepo .
Kaa tayari tujifunze shughuli zote wanazopaswa kufanya watu hawa.
Usisahau Ku subscribe, like, comment, share video hii kwa watu wengine.
#astrology #nyota #challenge #africa #mafanikio #mystics
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: