Ujumbe Mzito wa Madame Rebeka kwa Watendaji wa Kasulu | Hope Center – MEO’s Day 2025
Автор: STARBORN PICTURES
Загружено: 2025-11-29
Просмотров: 115
Katika maadhimisho ya MEO’s Day 2025, Watendaji wa Mtaa kutoka Halmashauri ya Kasulu Mji walitembelea Hope Center, kituo cha kulea watoto wenye mahitaji maalum kinachomilikiwa na shirika la Collective Calling.
Katika ziara hiyo, Mkurugenzi wa Hope Center – Madame Rebeka, alitoa ujumbe mzito kwa watendaji kuhusu:
Changamoto wanazokutana nazo katika kulea watoto walioko katika mazingira magumu
Uhitaji wa ushirikiano kati ya jamii na kituo
Jinsi watendaji wanaweza kusaidia kuwafikia na kuwaokoa watoto walioko mtaani
Wito wa kuimarisha upendo, ulinzi na msaada kwa watoto hawa
Ujumbe wake umeacha alama kubwa na kutoa mwelekeo mpya wa ushirikiano kati ya Hope Center na viongozi wa mitaa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: