MATUMIZI SAHIHI YA VITAMINS KWA KUKU
Автор: AGALUS TV
Загружено: 2025-08-28
Просмотров: 1395
#agalustv #chicken #eggfarming #tibaasilizakuku #tibaasilizakuku #eggproduction #farming #poultry #poultryfarming
📏 Kiwango cha matumizi kwa vifaranga:
Changanya 1 gramu ya vitamin kwa lita 1 ya maji safi ya kunywa
Tumia mchanganyiko huu kwa siku 5–10 mfululizo hasa:
✅Tiba asili/Kienyeji za kuku Aina zote: • Tiba asili/Kienyeji za kuku Aina zote
Siku za kwanza baada ya kuwaleta shambani
Baada ya chanjo
Kipindi cha hali mbaya ya hewa
Wakati vifaranga vina dalili za udhaifu
✅ Follow us Facebook page
/ 1egvjfvv14
♻️ Uendelezaji:
Baada ya dozi ya mwanzo, unaweza kurudia tena kwa siku 3–5 kila mwezi au wakati kuna dalili za kushuka kwa nguvu.
⚠️ Tahadhari:
Usitumie bila sababu kila siku, vitamini zikizidi pia zina madhara
Badilisha maji kila siku, hakikisha yamechanganywa vizuri na ni safi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: