Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Uganda
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-01-14
Просмотров: 12167
Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Uganda
Jumla ya wagombea 11 wanachuana kwenye kura ya urais
Rais Yoweri Museveni alipiga kura muda mfupi kabla ya vituo kufungwa
Vifaa vya kupiga kura vilikosa kufanya kazi baada ya mitandao kubanwa
Bobi Wine analalamikia kukamatwa kwa mawakala wake
Wine anahofia njama ya wizi wa kura nchini Uganda
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: