KILIMO BIASHARA | Kilimo cha kitunguu saumu katika kaunti ya Kajiado
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-02-01
Просмотров: 13970
Kitunguu Saumu ni mojawapo ya viungo muhimu jikoni na hata kuenziwa na wengine kwa manufaa yake ya kiafya. Kitunguu hiki sasa kikiwa na umaarufu mkubwa miongoni mwa wakulima, kutokana na uwezo wake wa kustahimili maeneo kame humu nchini. Katika makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: