Usajili wa gredi 10 Mombasa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 450
Huku zoezi la kuhakikisha wanafunzi wa gredi ya 10 wamejiunga na shule za sekondari ya juu likiingia siku yake ya pili, machifu wanaendeleza zoezi la kuhakikisha wanafunzi wote wanajiunga shuleni mjini mombasa kwa kuzuru mitaa na kuhakikisha hakuna mwanafunzi anasalia nyumbani. Francis mtalaki anajiunga nasi kutoka Mombasa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: