NAIBU MEYA MTOVE, DIWANI KAPUFI WAAHIDI KUWEKA KAZI MBELE KUSUKUMA MAENDELEO YA IRINGA
Автор: PAMLOMO24
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 49
Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa, Bashiri Mtove, pamoja na Diwani wa Kata ya Kitwiru, Salehe Kapufi, wameahidi kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ili kusukuma gurudumu la maendeleo ya Manispaa ya Iringa.
Viongozi hao wametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, linaloongozwa na Meya Ibrahimu Ngwada. Wamesema watahakikisha ushirikiano, uwajibikaji na uwazi vinawekwa mbele ili wananchi waendelee kunufaika na mipango ya serikali katika maeneo yao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: