Yesu anavyolijenga kanisa lake, HII ISIKUPITE!!!
Автор: DaudiEM
Загружено: 2025-09-10
Просмотров: 148
Kila muumini ni kiungo cha mwili wa Kristo, kila mmoja ana kipawa, na wote tunahitajiana.
Ukisikia kama kipawa chako si muhimu, kumbuka: jicho haliwezi kuishi bila mkono, wala kanisa bila wewe.
Tafakari nasi kupitia Waefeso 4:7–15 na 1 Wakorintho 12:12–27.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: