NAKUKARIBISHA YESU WANGU - Tassia Catholic Parish Choir
Автор: Camtech Communication Services
Загружено: 2024-01-22
Просмотров: 4590
NAKUKARIBISHA YESU WANGU
Nakukaribisha Yesu wangu ukae moyoni mwangu (Bwana)
nakukaribisha Yesu wangu chakula chenye uzima
Nakukaribisha Yesu wangu ukae moyoni mwangu (Bwana)
nakukaribisha Yesu wangu kinywaji chenye uzima
Nishibishe kwa chakula cha uzima, uninyweshe kinywaji, kinywaji safi cha roho
B.T.A : unishibishe kwa chakula cha uzima, ninyweshe kinywaji safi cha roho.
1. Mwili wako ni chakula kinacho iburudisha roho yangu Yesu karibu moyoni mwangu ukae nami daima
2. Damu yako ni kinywaji kinacho iburudisha roho yangu Yesu karibu moyoni mwangu ukae nami daima
3. Kwa mwili na damu yako ee Yesu tunapata uzima tele Yesu karibu moyoni mwangu ukae nami daima
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: