Fahamu mambo haya kuhusu SIWA; Spika atoa maelekezo kwa Wabunge ikiwa inaingia na ikiwa inatoka
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-05-03
Просмотров: 1714
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson akitoa maelezo yake wakati akiahirisha Bunge mara baada ya kupitishwa kwa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma jumatano, Mei 3, 2023.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: