KING KIKI AFARIKI DUNIA
Автор: Sato Bujiku
Загружено: 2024-11-15
Просмотров: 179
please subscribe like and share @satobujiku
mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, boniface kikumbi mwanza mpango maarufu king kiki aMEfariki dunia Usiku wa kuamkia leo.Taarifa zinasema King Kikii amefariki katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa.Enzi za uhai wake, King Kikii alikuwa mahiri kwenye Kuimba Kutunga nyimbo na kupiga vyombo AMBAPO alitamba NA nyimbo nyingi ikiwemo #Kitambaa Cheupe uliomzolea umaarufu mkubwa.HAKIKA Tutakukumbuka kwa Wimbo wako wa KITAMBAA CHEUPEE, wimbo AMBAO UMEKUWA UKIPENDWA NA RIKA MBALIMBALI NA HAKIKA WIMBO HUU UTAENDELEA KUISHI. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE NA MUNGU AILAZE ROHO YA MATEHEMU HMAHALI PEMA PEPONI AMINA.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: