SAUD ARABIA YAILIPUA BANDARI ya YEMEN - BAADA ya SHEHENA KUBWA ya SILAHA KUSHUSHWA KUTOKA UAE
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 5208
SAUD ARABIA YAILIPUA BANDARI ya YEMEN - BAADA ya SHEHENA KUBWA ya SILAHA KUSHUSHWA KUTOKA UAE 📍 SAUDI ARABIA
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umetangaza kuwa umefanya shambulio la kulenga shehena kubwa ya silaha na magari ya kivita iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli katika bandari moja nchini Yemen, ikidai silaha hizo zilikuwa zikielekezwa kwa vikosi vya waasi wanaotaka kujitenga na zilikuwa zinatoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: