MAMA SHUGHULI {audio} - MWANAHAWA ALLY - ZANZIBAR STARS
Автор: Mwambao muziki wetu
Загружено: 2017-02-20
Просмотров: 13114
Ni wimbo uliowahi kufanya vizuri kwa miaka kadhaa iliyopita,lakini bado ladha ya mashairi yake na midundo inawagusa wengi.Mwanahawa ally anajalibu kumzungumzia sifa za mwanamke wa mjini na hasa katika mambo ya mapenzi,mshahiri anase .........mimi mama shughuri deile natinga saloon......kwa utajiju styre naseti nywere makini..........najua kupamba pamba za asubuhi na jioni....sio wewe mkodombwe night dress harusi.........Sio maneno yangu jamani ni Mwanahawa ally.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: