HECHE – “BUNGE HILI HALINA UHALALI” BUNGE LA 13 LAANZA VIKAO VYAKE, LAELEZWA KUTOKUWA NA “MENO.”
Автор: Focus News Tanzania Tv 1
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 912
HECHE – “BUNGE HILI HALINA UHALALI” BUNGE LA 13 LAANZA VIKAO VYAKE, LAELEZWA KUTOKUWA NA “MENO.”
Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeaanza vikao vyake Jumanne hii mjini Dodoma yalipo makao makuu ya chama na serikali ikiwa ni baada ya kumalizika uchaguzi mkuu wa mnamo Oktoba 29 mwaka jana.
Wakati vikao vya Bunge hilo vikianza jumanne hii jijini Dodoma kumekuwepo na maoni mseto kutoka kwa watu wa kada mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa, wananchi na wachambuzi wa masuala ya siasa nchini Tanzania huku baadhi yao wakiliona bunge hilo kuwa la upande mmoja.
#focusnewstanzaniatv1 #ccm #tanzania #chadema #samiasuluhu #tundulissu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: