"HATUWEZI KUILAUMU SERIKALI KWA HILI,KILA MMOJA WETU ANAWAJIBIKA" SHEIKH KABEKE WA MWANZA
Автор: KHAIRIYYA ONLINE TV
Загружено: 2025-11-08
Просмотров: 661
“Nani wa kulaumiwa katika uhuni huu? Hatuwezi kuinyoshea serikali mkono tu. Kumbukeni Mufti ameandika kitabu chake akieleza wazi kuwa mmomonyoko wa maadili ni jukumu la wote. Hawa vijana wanaofanya haya ni waliokosa maadili,” alisema Sheikh Kabeke wa Mwanza
Ameyasema hayo wakati wa dua maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kuendelea kuijalia Tanzania amani.
Aidha, Sheikh Kabeke amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika jitihada za kuleta maendeleo kwa manufaa ya Taifa.
Habari Kamili
Tazama
Khairiyya online Tv
Usisahau
#subscribe #share #comment #like
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: