KABLA SIJANYAMAZA - AY SIMA CHOIR.
Автор: Sima Adventist Youth Choir
Загружено: 2023-08-26
Просмотров: 9325
Hili ndilo ombi letu kabla hatujanyamaza Bwana atutumie kama apendavyo maana tuko tayari kutumika shambani mwake,.......
Je? mpendwa na wewe ni ombi lako Bwana akutumie kabla hujanyamaza?
Karibu tubarikiwe na wimbo huu unaogusa maisha yetu tukiwa hai,
Bwana atutumie tungali na nguvu katika nyanja zote; kiroho,kijamii,kiuchumi,kimwili,kitaaluma nk
Bwana akubariki sanaa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: