Prof.Tibaijuka: Tanzania Kuna Udikteta wa Vyama, 'Kwanini Wagombea Binafsi Wasiruhusiwe'
Автор: The Chanzo
Загружено: 2024-09-14
Просмотров: 8060
Akiongea Leo Septemba 14,2024, katika maadhimisho ya siku ya demokrasia duniani yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu katika ukumbi wa Maktaba ya Chuo cha Dar es Salaam Prof. Anna Tibaijuka amependekeza Tanzania kufanya mageuzi kuruhusu wagombea binafsi.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: