Mila ya tohara yageuka shubiri kwa wamaasai, yachochea ukatili na uvunjifu wa haki za binadamu
Автор: Haki TV
Загружено: 2024-02-16
Просмотров: 213
#tohara #maasai #tanzania
Hii leo Haki TV imefanya mahojiano maalum na Askofu Julias Sokoine na Paul Pasoro kutoka jamii ya kimaasai Wilaya ya Kilindi mkoa wa Tanga, ambapo katika mahojiano hayo wahojiwa wameibua masahibu/ ukatili wanaopitia kutokana na ‘Utekelezaji wa mila za tohara kwa waamasai.
Ukatili huo unafanywa na wazee wa mila na Morani wa kimaasasi kwa mmaasai yeyote ambaye atakiuka taratibu za #Tohara na kumtahiri mtoto wake hospitalini au nje ya muda uliokubaliwa na waamsai, na moja ya ukatili unaofanywa ni vipigo, udhalilishaji, kuchoma nyumba moto, kupelekwa porini, kutishiwa kuuwawa na mpaka sasa kuna matukio manne ya ukatili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: