MAKALA MAALUMU YA MTIBWA SUGAR | Asili ya Mtibwa Sugar, namna walivyozishinda Simba, Yanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 299
Asili ya klabu ya soka ya Mtibwa Sugar, mapito yake na namna ilivyozishinda Simba na Yanga
Kocha Mecky Maxime afunguka namna Mtibwa Sugar walivyomuibua wakati huo akiwa kwao Ruaha Kilombero mkoani Morogoro.
Mecky asimulia sababu za yeye kuamua kukaa Mtibwa pekee katika kipindi chake chote cha soka.
Mecky azitaja Simba na Yanga.
Ni Makala maalumu inayoihusu Mtibwa Sugar na asili ya klabu hiyo iliyopo Turian Morogoro.
#MtibwaSugar
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: