Jotich Singers Tz - Nijapopita Katika Bonde || Makambi Music Worship Edition 1 || Sifa na Shuhuda
Автор: Mwenge SDA Church
Загружено: 2025-08-18
Просмотров: 462
#uimbaji
#sabatonjema
#uimbaji
#sabatomchana
#makambi
Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge linakualika katika Makambi Music Worship Edition 1 — Ibada ya kipekee ya sifa, shuhuda, na uimbaji mkuu kuelekea maandalizi ya Makambi Mwenge 2025.
Tarehe: Jumamosi, 16 Agosti 2025
Muda: Saa 9:00 Alasiri – Saa 12:00 Jioni
Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge
Tutabarikiwa na huduma ya waimbaji maalum:
Solo Artist:
1. Buyegi Bulengela
2. Asha Majura
Kwaya
1. Jotich Singers Tz na
2. Kwaya 10 za Kanisa la Mwenge SDA.
Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge @mwengesdachurch linawakaribisha waabudu wote katika Ibada maalum ya Kufungua Sabato hii, ikiwa Tamasha la Uimbaji la ''Big Heavenly Experience!" - Season 3 na Tucasa DIT
Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049
Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 999 611 au barua pepe [email protected] au [email protected]
SADAKA YA MAJENGO
Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili).
SADAKA ya MAJENGO:
CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili).
ZAKA & SADAKA
Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili).
Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). Mungu akubariki.
Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia.
Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
Facebook Page: Mwenge SDA Church Live
Instagram: mwengesdachurchlive
TikTok: Mwenge SDA Church
Mungu akubariki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: