AIC Shinyanga Choir - Okoka (Official video)
Автор: AIC Shinyanga Choir Official Page
Загружено: 2020-01-11
Просмотров: 38600
Wimbo wa Okoka, ni mahubiri tosha kwetu, yanayo tufundisha kumkumbuka MUNGU wakati wa uhai na uzima wetu hapa duniani.
MUNGU wetu ni MUNGU anaesamehe na kusahau, haijalishi umefanya mabaya mangapi. Ukitubu na kumkiri kuwa BWANA na MWOKOZI wa maisha yako UTAOKOKA.
Albam: Mbeleko umeichana
Facebook: aict shinyangachoir
Instagram; aic_shinyanga_choir_official
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: