KIMANI BWAWA LA MAPENZI MPANGA KIPENGELE NJOMBE \ MAPOROMOKO \ UTALII WA TANZANIA
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2023-01-06
Просмотров: 746
Hifadhi ya taifa ya akiba ya mpanga kipengele, Ilianzishwa mwaka 2002 ikiwa ndani ya wilaya tatu wilaya hizo ni Wangingombe, Makete na Mbarali, na ikipatikana ndani ya mikoa miwili mkoa wa Njombe na mkoa wa Mbeya.
Katika hifadhi hii yanapatikana maporomoko ya maji maarufu "Kimani Water falls, Maporomoko haya yana urefu wa mita 2002 ndio maporomoko yenye kuvutia kutokana na muonekano wake yakiwa na bwawa la mapenzi ndani yake, Mbali ya kuwa na bwa la Mapenzi kunapatikana pia mabwawa mengine Asili ya kuogelea (Natural swiming pools) ambayo yamejitengeneza, wageni mbalimbali huyatumia kuogelea bila ya kikwazo chochote.
Lakini maporomoko ya mto kimani ndio husafirisha maji na kuyapeleka katika mito mikubwa kama vile Mto ruaha mkuu (The Great Ruaha River), Dada Muhifadhi @sophiakessytz na @mwakajana_wetu wanakutembeza kushuhudia uzuri wa tanzania @tanzania_unforgettable @regrowtanzania1
#KIMANIWATERFALLS #MPANGAKIPENGELE #IRINGA #MBEYA #NJOMBE #MAPOROMOKO #MABWAWA #UTALIIWANDANI #UTALII #TANZANIA #BWAWALAMAPENZI
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: