News : Semi za Kibaki zilizoangua vicheko
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2012-12-19
Просмотров: 535853
Rais Kibaki alikuwa na namna yake ya kuzungumzia maswala muhimu. Alitumia lugha ya kipekee, ambayo Kibaki tu ndio angeitumia alipotaka kuzungumzia masuala kadha wa kadhaa. Na mara nyingi waliomsikiza ilikuwa ni kuangua vicheko. Ifuatayo basi ni baadhi tu ya misemo ambayo bila shaka itasalia kama kumbukumbu ya Rais Kibaki.
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: