DC Zainabu Kawawa apata mtihani mzito wiki ya kwanza kazini!
Автор: Bongo5
Загружено: 2018-09-15
Просмотров: 1121
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe Zainabu Kawawa amesema wiki ya kwanza kuingia kazini alikutana na changamoto kubwa ambayo hakuitajiria kwa muda huyo. DC alisema changamoto hiyo ilizalishwa na mgogoro kati ya wakulima na wafugaji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: