Shangwe la Kikwete baada ya kutajwa Yanga kwenye Mkutano Mkuu wa CCM
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-01-18
Просмотров: 6277
Tazama cheko la Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete baada ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla kuitaja Yanga kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma.
Rais wa Yanga, Hersi Said, Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally na Mdhamini na Mfadhili wa Yanga, Ghalib Said Mohamed watajwa mkutanoni.
#MkutanoMkuuCCM #CCM
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: