Kupika Mikate Ya Ufuta Kwenye Jiko La Mkaa | Mapishi Rahisi | Mikate Ya Ufuta Laini Sana!
Автор: Mapishi rahisi
Загружено: 2023-08-31
Просмотров: 21046
Jinsi ya kupika mikate ya ufuta
Mahitaji
unga vikombe 6
hamira kijiko 1 na nusu kikubwa
sukari kijiko 1 kikubwa
chumvi kijiko na nusu ndogo
siagi kijiko 1 kikubwa
tui la nazi vikombe 2
maji kikombe 1 na nusu
ufuta
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: