"Ningekuwa MAGUFULI Zile Katuni za Masoud Kipanya Nisingemuacha" - MLINGA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-02-08
Просмотров: 80538
"Ningekuwa MAGUFULI Zile Katuni za Masoud Kipanya Nisingemuacha" - MLINGA
MBUNGE wa Ulanga, Goodluck Mlinga, amesema serikali inatakiwa kuwapa ulinzi Mahakimu kwani wao ndio wanaofanya kazi kubwa ya kuhukumu Nani aende gerezaji nani abaki.
Aidha Mlinga amesema kitendo kinachofanywa na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, cha kuzunguka Marekani na kuichafua nchi kuwa hakuna uhuru wa kujieleza si cha kiuungwana.
Mlinga amesema nchi hii imejaa vyombo vya habari vingi na havijawahi kubanwa kwa njia yoyote na wapo watu wengine wanafanya vitendo vya kumchokoza Rais akiwemo mchora katuni Masoud Kipanya ambaye anachora katuni zenye maudhui ya kumdhalilisha.
#BUNGENIDODOMA
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: