Special Episode :Nina Kila Sababu ya Kumshukuru Mungu (Ushuhuda)
Автор: Binti Sayuni 50
Загружено: 2025-09-16
Просмотров: 74
Karibu Binti Sayuni 50 YouTube Channel ✨
Katika video hii, na -share ushuhuda wangu wa kumshukuru Mungu kwa kunifikisha hapa nilipo leo licha ya changamoto nyingi tangu kupokea muujiza wangu wa Mercy the Kidney 💕
➡️ Nawakumbusha wote waliopo kwenye hali kama yangu: usiache kumtumainia Mungu!
➡️ Nimezungumzia pia umuhimu wa kukiri na kuthibitisha Neno la Mungu katika maisha yetu.
➡️ Utaona pia vipande vifupi vya ibada ya shukrani tuliyoifanya mwezi Mei baada ya kufikisha miezi 6 ya ushindi. 🎉
Natumai ushuhuda huu utakutia moyo na kukuimarisha kuendelea kuamini.
📌 Usisahau:
👉 Ku-subscribe kwa channel hii
👉 Kupenda (Like) video hii
👉 Kushare na rafiki yako ambaye anahitaji kuinuliwa kiimani
👉 Kuacha maoni yako ili tujifunze pamoja
#Ushuhuda #Shukrani #KumshukuruMungu #Imani #NenoLaMungu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: