MAKAA YA MAWE NA UJIO WA MELI MPYA UTAKAVYOIBADILISHA MBAMBA-BAY WILAYANI NYASA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2019-12-27
Просмотров: 6528
Kutokana na kuongezeka kwa shughuli za uchimbaji wa makaa ya mawe na usafirishaji wa meli Serikali inatarajia kujenga bandari mpya na ya kisasa katika fukwe za Mbamba bay zilizopo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma katika ziwa Nyasa.
Hivi sasa Mbamba Bay ambayo ni kiunganishi cha Tanzania na nchi Malawi na Msumbiji kuna bandari iliyojengwa miaka kadhaa iliyopita ambayo miundombinu yake imechakaa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: