Afya Yako: Majipu ya jino husababishwa na nini na hutibiwa vipi? | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-06-30
Просмотров: 4591
Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino na jino lolote huweza kutengeneza jipu. Majipu hayo husababisha maumivu makali kwenye jino na huathiri ufizi na sehemu ya ndani kabisa ya jino. Lakini je, majipu hayo husababishwa na nini? Je huweza kuzuiwa, kutibiwa au kushughulikiwa vipi. Sikiliza zaidi kwenye #makala ya #AfyaYako #kurunziafya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: