Serikali inawasaidia vipi wanaDIASPORA || "Kutoka Ughaibuni"
Автор: KUTOKA UGHAIBUNI
Загружено: 2017-02-10
Просмотров: 1402
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika ya kusini likaamua kuitisha kikao ili kuzungumzia suala zima la kuunda DIASPORA ( ughaibuni) ya watanzania duniani, ambacho ni chombo kitakachokuwa na matawi kila nchi iliyo na jumuiya au umma wowote wa Watanzania.
DIASPORA ni jumuiya ya watu wanaoishi na kufanya shughuli za kutafuta kipato na kujenga taifa lao huku wakiwa nje ya nchi walio na uraia, aidha kwa kuzaliwa, kuandikishwa au mirathi ya uzaliwa kwa wazazi wao, na kwa maana kwamba wanajumuiya hawa, wana elimu, upeo, uwezo, hali, ari, mali au ubunifu wa kuchangia shughuli za maendeleo za taifa lao bila kujali itikadi za dini, siasa, mila, desturi, tamaduni na viwango au hadhi za uraia wa wanajumuiya kama ilivyoelezwa hapo juu
#SouthAfrica #Tanzania #1Tranding #Sautinasimulizi #millardayo #wasafitv #wasafimedia #Diamondplatnumz #Zuchu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: