Mh. Winifrida Elia Gunda: Wanawake wa Ilemela tumejipanga kutiki kwa Mama Samia Oktoba 29
Автор: Alburhan Online tv mwanza tz
Загружено: 2025-10-07
Просмотров: 94
Mheshimiwa Winifrida Elia Gunda akiwaongoza wanawake wa Ilemela amesema wapo tayari kwa ajili ya ushindi wa Mama Samia Suluhu Hassan Oktoba 29. Amesisitiza kuwa wanawake wa Ilemela wamesimama imara kumuunga mkono kiongozi anayesimamia maendeleo, amani na ustawi wa jamii. #alburhanonlinetv #MamaSamia #Ilemela #WinifridaGunda #WanawakeKwaMaendeleo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: