NGUVU ZA MWANAMKE – Siri Zilizofichwa Unazopaswa Kuzitumia
Автор: TALK WITH JASMIN
Загружено: 2025-08-11
Просмотров: 883
💡 Kila mwanamke ana nguvu za kipekee ambazo, zikitumika vizuri, zinaweza kubadilisha maisha yake na ya watu waliomzunguka. Katika video hii, tunajadili nguvu alizonazo mwanamke kulingana na kitabu cha Nguvu ya Mwanamke cha Joel Nanauka, na namna ya kuzitumia ili kufanikisha malengo yako binafsi, kifedha, na kijamii.
🔹 Utajifunza:
1️⃣ Nguvu ya fikra Kuatamia
2️⃣ Nguvu ya intuition
3️⃣ Nguvu ya ushawishi
🌸 Kumbuka, nguvu hizi zipo ndani yako tayari – unachohitaji ni maarifa na ujasiri wa kuzitumia.
📌 Tazama hadi mwisho kupata mbinu za vitendo utakazoweza kuanza kutumia mara moja!
#NguvuYaMwanamke #JoelNanauka #MafundishoYaMaisha #MotivationSwahili #NguvuSita #LevelUp
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: