Trip to Kharumwa 22/03/2018
Автор: Shayb Mjange
Загружено: 2019-02-23
Просмотров: 32
Hii siku ilikua mbaya sana kwan Tuliwahi kuondoka lkn gar nlopewa speed Mwisho 60 ni Aina ya Ford Ranger lkn ilibadilishiwa ingene ikawekwa 3L
Picha la kwanza Tulipofika Ilogi tukakamatwa kwa kosa la Speed tukatoa fine
before hatujafika Zanzibar ndo Balaa la Kuzama likatukuta Dah
Ila mungu mkubwa Tulipata msaada wa Rav4 ikatutoa pale
#MUNGU MKUBWA
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: