TAARIFA ZA MSEMAJI || HAMASA NI KUBWA UHAKIKI WA TAARIFA FIDIA ENGARUKA
Автор: NDC TV
Загружено: 2025-01-21
Просмотров: 114
Wanakijiji wa vijiji vya Engaruka Chini na Irerendeni, Monduli mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao kwa ajili ya kulipwa fidia takriban bilioni 14.4 za Kitanzania ili kupisha utekelezaji wa mradi wa Magadi Soda wa Engaruka, uliopo mkoani Arusha.
Uhakiki huo wa taarifa za walipwa fidia unafanywa na maafisa kutoka shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Wathamini kutoka Wilaya ya Monduli na Maafisa kutoka Serikali ya Wilaya na Vijiji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: