MWALI WA KINGONI - SIMULIZI MPYA
Автор: Ankojay Simulizi
Загружено: 2023-12-30
Просмотров: 66648
Rehema ni mtoto pekee katika familia ya mzee Haule, hana 'kaka' wala 'dada' wa kuchangia nae mkeka. Kabila lake ni mngoni. Marehemu mama yake anaitwa Theresia ambaye alifariki dunia wakati Rehema akiwa na umri wa miaka kumi na sita, tangu mama yake Rehema alipofariki dunia; baba yake Rehema hakutafuta mwanamke mwingine wa kuishi naye' hivyo aliamua kuishi na mwanae Rehema kwa muda wote. Rehema amesomeshwa na baba yake kutokea darasa la vidudu mpaka kidato cha sita.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: