Mbinu 8 Za Kuongeza Mauzo Mtandaoni
Автор: Wantedlife Marketing
Загружено: 2025-09-29
Просмотров: 34
Unataka kuongeza mauzo yako mtandaoni lakini hujui pa kuanzia? 🤔 Katika video hii nitakueleza Mbinu 8 za kuongeza mauzo mtandaoni ambazo zimewasaidia wafanyabiashara wengi kukuza kipato chao kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kidigitali. 🚀
🔔 Subscribe ili upate video zaidi kuhusu biashara na mbinu za mafanikio mtandaoni.
UNAWEZA TAZAMA PIA;
1.Jinsi Ya Kufungua Biashara Ya Saloon na barbershop kwa mtaji
wa 500,000👇
• Jinsi Ya Kufungua Biashara Ya Saloon na Ba...
2.Biashara 7 ambazo haziwezi kufa Milele👇
• Biashara 7 ambazo Haziwezi Kufa Milele..!!!
3.Video mbalimbali zinazohusu Biashara Na Uwekezaji👇
• Biashara na uwekezaji
_____________________________________________________
_____________________________________________________
SUPPORT BIASHARA YANGU🥰
I hope unajifunza vingi kupitia Channel hii Tena BURE kabisa...😊
Naomba Support yako Katika Biashara yangu Ya Printing ili niendelee kutoa elimu bila kuchoka ktk channel hii.👇
1.Naprint Tshirts, Jezi, Vikombe, Chupa za Maji, Picha Mbao na pichasaa
Unaweza Tembelea Akaunti Yangu Instagram kisha ukanifollow👇
https://www.instagram.com/kakawanted_...
Au ukaja WhatsApp Moja Kwa Moja kupitia Namba +255656781501 au kupitia link hii👇
https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1
______________________________________________________
______________________________________________________
COURSES NA HUDUMA ZANGU
1.Naset Matangazo Ya sponsored ads Instagram na Facebook kwa shilingi 30000(mara ya kwanza), na 10000 mara ya pili na kuendelea..
2.Natatua Tatizo la Akaunti kufungwa na Matatizo mengine kwa 50,000/=
3.Nafundisha Course ya Sponsored ads masterclass kwa usimamizi wa mwaka mzima Pamoja na kutatua matatizo yote ya sponsored ads wewe mwenyewe kama akaunti kufungwa, kukwepa madeni nk.
(Video zipo 44, Bei ya course ni 50,000/=
4.Nafundisha jinsi ya kutengeneza na kuedit video aina zote kama vile Lyrics, matangazo, Video za Youtube kwa kutumia smartphone
Bei ya course 60,000/=
5.Nafundisha Youtube Marketing. Jinsi gani unaweza kulipwa kwa kuupload videos kwenye channel yako. Gharama Ya Course ni 70,000/=
6.Natengeneza Matangazo proffesional Ya Videos Bei ni 150,000/= kwa Tangazo moja
KUJIFUNZA COURSE HIZI Na KUPATA HUDUMA HIZI, wasiliana nami whatsApp Kupitia link👇
https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1
NOTE⚠️(Youtube jifunze Bure, ila whatsapp Sina huduma ya Bure)
----------------------------
----------------------------
MAWASILIANO:
Hello, Naitwa Ezrah Mhonda, Ni mjasiriamali wa mambo ya Mitandao.
Nasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali kukuza biashara zao kupitia Mitandao ya kijamii. Pia nafanya Biashara ya Printing.
INSTAGRAM A.👇
/ wantedlifemarketing
INSTAGRAM B👇
https://www.instagram.com/kakawanted_...
WHATSAPP:👇
https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 au +255656781501
EMAIL:👇
[email protected]
#MauzoMtandaoni #BiasharaMtandaoni #Marketing
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: