Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Mauwaji ya Waandamanaji Zanzibar Januari 2001: Sababu zilezile miaka 25 baadae tangu yafanyike

Автор: Weyani Tv

Загружено: 2026-01-22

Просмотров: 7722

Описание:

Maandamano na mauwaji ni kitu ambacho kiko midomoni mwa Watanzania wengi tangu yatokee matujlkio ya aina hiyo Oktoba 29 na siku zilizofuata mwaka 2025. Lakini je, wajua kuwa hilo si tukio la kwanza kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

Mwezi huu wa Januari miaka 25 iliyopita, kulifanyika pia mauwaji dhidi ya waanadamanji katika visiwa vya Zanzibar. Watu waliuawa kwa risasi, kukamatwa, kuwekwa vizuini na kupigwa vipigo ambavyo vilivyoacha alama kwenye miili na maisha yao.

Said Miraji ni miongoni mwa waliokumbwa na kadhia hiyo wakati huo akiwa ni Mkurugenzi wa vijana wa Chama cha Wananchi, CUF, ambao ndio walioandaa maandano hayo ya kudai mambo kadhaa vikiwemo uchaguzi huru na wa haki pamoja na katiba mpya.

Vyombo vya dola, chini ya Amiri jeshi Mkuu wa Tanzania kwa wakati ule Rais Benjamin Mkapa viliwauwa kwa risasi waandamanaji hao ambao hawakuwa na chochote mikononi mwao. Hii ni simulizi ya Said Miraj katika kumbukumbuku ya mauwaji hayo kwa mwaka huu wa 2026 ikiwa ni miaka 25 tangu yafanyike.

Video hii ni sehemu tu ya mahojiano kamili yalochapishwa na chaneli ya Gumzo la Ghassani ambao ndio wamiliki na waandaji. Ukiyataka kwa kina tafadhali watembee kwenye channel yao.

Mauwaji ya Waandamanaji Zanzibar Januari 2001: Sababu zilezile miaka 25 baadae tangu yafanyike

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Simulizi za kumbukumbu ya miaka 25 ya mauwaji ya Januari 2001 Zanzibar*Kilichowapata waandamanaji

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Mapinduzi ya Zanzibar: Usoyajua kuhusu walioshiriki kuipindua serikali ya Zanzibar Januari 12, 1964

WASTARA AFUNGUKA KUOLEWA NA DUDUBAYA BAADA YA KUTESEKA NA UPWEKE KWA MDA MREFU,TAZAMA HAPA...

MBUNGE MSUKUMA NA MWEKEZAJI WATAKA KUZICHAPA KATORO

Walichopata Wazanzibari kwa maandamano ya Januari 2001 | JANUARI YA DAMU | SEHEMU YA TANO

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

DK. MWINYI AJENGA SKULI YA  SEKONDARI KAMA CHUO KIKUU KIFUNDI-PEMBA.

HUTAAMINI: ANGALIA NDEGE KUBWA YATUA ZANZIBAR AIRPORT

''ZANZIBAR IPEWE NAFASI'' MBUNGE KING ashusha PONTI kuhusu MUUNGANO

#ZRA: Zoezi Maalum kwa Gari za Biashara Kaskazini Unguja

UCHAGUZI URUDIWE ACT WAZALENDO WAKATAA MAKAMU WA RAISI ZANZIBAR

INASIKITISHA! MWANAFUNZI APOTEA SHULENI - WALIMU WAMPA POLE na KUMUACHA...

«Партия миграции» спасает диаспоры

«Партия миграции» спасает диаспоры

Majenereta yawashwa kupunguza changamoto ya upatikanaji umeme Zanzibar

Саудовская Аравия Перекачивает Миллиарды Литров Морской Воды по Гигантским Трубам в Пустыню!

IJUE SANAA YA NGOMA ZA ASILI KUTOKA PEMBA-PART TWO

SHEKH AACHISHWA KAZI YA UASKARI POLISI NA MUNGU | ATEMBEA KWENDA  MAKKA KWA MIGUU KWA MIEZI SABA

DK.MWINYI AMEFUNGUA BARABARA YA CHAKE CHAKE - WETE

ЗЭКИ хотели УНИЗИТЬ Старика, но ПОСЕДЕЛИ от УЖАСА, узнав ЕГО ПРОШЛОЕ!

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com