Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Mvua zasababisha Mlima Kawetere kumeguka Ujiuji wafunika nyumba 20 kata ya Itezi Jijini Mbeya

Автор: MbeyaYetuOnlineTV

Загружено: 2024-04-14

Просмотров: 102000

Описание:

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde Juma Z. Homera amefika Mlima Kawetele uliopolomoka Alfajiri ya Leo na Kusababisha Kufukiwa kwa Nyumba 20, Ng'ombe Wanne na Kuharibika kwa Miundombinu ya Shule ya Generation katika Mtaa wa Gombe Kata ya Itezi Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Akizungumza baada Kuwasili eneo la Tukio RC Homera amekanusha Uvumi unaozagaa Mtandaoni ukidai Kuna Maafa katika tukio hilo ambapo amesema zaidi ya hivyo vilivyotajwa Aya ya Kwanza hakuna Madhara mengine Wala Maafa kama inavyoripotiwa na Baadhi ya Watu.

Aidha Homera ameiagiza Halmashauri ya Jiji la Mbeya kufanya Tathimini juu ya Waathirika hasa wale wasio na Malazi ya Kulala wahakikishe wanapatiwa Sehemu hizo wakati huu ambao Serikali inaendelea kupambana kuhakikisha Hali inakuwa Sawa katika Maeneo hayo.

Pia amekiagiza Kitengo Cha Ardhi Halmashauri ya Jiji la Mbeya kuacha kuwapimia Wananchi Viwanja eneo lenye Changamoto hasa ya Mkondo wa Maji kwa kufanya Kwao hivyo kutasababisha Matatizo kama hayo ambayo yangeweza kuzuilika.

Tukio hilo limetokea Alfajiri ya Kuamkia Leo ambapo chanzo Chake ni Mvua zinazoendelea Kunyesha Mfululizo na Matukio yanayofanana na haya yamekuwa yakitukia Mikoa Mbalimbali ikiwemo Mikoa ya Arusha na Lindi.

Mvua zasababisha Mlima Kawetere kumeguka Ujiuji wafunika nyumba 20 kata ya Itezi Jijini Mbeya

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KIMEUMANA! CHADEMA MBEYA WAZUA KIZAA ZAA KUKAMATWA VIONGOZI WAO NA POLISI, WACHARUKA VIKALI

KIMEUMANA! CHADEMA MBEYA WAZUA KIZAA ZAA KUKAMATWA VIONGOZI WAO NA POLISI, WACHARUKA VIKALI

NAIBU KATIBU BARA CHADEMA AKUTANA NA MBOWE MSIBA WA MTEI

NAIBU KATIBU BARA CHADEMA AKUTANA NA MBOWE MSIBA WA MTEI "HAKUNA MAJEREHA YEYOTE TUKO PAMOJA"

HAPPY |MUME WANGU AMENITELEKEZA |NALEA MTOTO MWENYEWE |MIMI SINGO MAZA |TUMEFUKUZWA

HAPPY |MUME WANGU AMENITELEKEZA |NALEA MTOTO MWENYEWE |MIMI SINGO MAZA |TUMEFUKUZWA

Цены на хлеб взлетели в Бурятии. Новости АТВ (21.01.2026)

Цены на хлеб взлетели в Бурятии. Новости АТВ (21.01.2026)

Inasikitisha sana Mama alia baada ya Mume wake Kuchukuliwa na Binti yake wa Kumzaa

Inasikitisha sana Mama alia baada ya Mume wake Kuchukuliwa na Binti yake wa Kumzaa

Լավրովի ելույթը Հայաստանի մասին. «Մեր ձևով»-ի վարչապետի թեկնածուն. AlphaNewsRoom 20.01.2026

Լավրովի ելույթը Հայաստանի մասին. «Մեր ձևով»-ի վարչապետի թեկնածուն. AlphaNewsRoom 20.01.2026

Huzuni Mbeya: Mwalimu Afia Nyumbani, Mwili Wakutwa Umeharibika Baada ya Wiki Tatu

Huzuni Mbeya: Mwalimu Afia Nyumbani, Mwili Wakutwa Umeharibika Baada ya Wiki Tatu

MCHINA AUZIWA ENEO LAKE WAKIDHANI AMEFARIKI KWA KORONA - WAZIRI SILAA AMKAMATA ALIYEUZA - AJITETEA!

MCHINA AUZIWA ENEO LAKE WAKIDHANI AMEFARIKI KWA KORONA - WAZIRI SILAA AMKAMATA ALIYEUZA - AJITETEA!

Срочное распоряжение покинуть территорию / Вывод войск

Срочное распоряжение покинуть территорию / Вывод войск

MILLARD AYO AFIKA KWENYE JUMBA LA BILIONEA MULOKOZI

MILLARD AYO AFIKA KWENYE JUMBA LA BILIONEA MULOKOZI "SIO YA NDOTO ZANGU, ANAKUJA KUKAA MFANYAKAZI"

Magufuli amgeukia RC wa Mbeya kuwachapa wanafunzi: Fukuza wote!!, peleka Jela.

Magufuli amgeukia RC wa Mbeya kuwachapa wanafunzi: Fukuza wote!!, peleka Jela.

MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA

MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA

Мбоу откровенно рассказал о трагедии, постигшей основателя Chadema Эдвина Мтейя, который скончалс...

Мбоу откровенно рассказал о трагедии, постигшей основателя Chadema Эдвина Мтейя, который скончалс...

Почему Аральское море стало пустыней? Главная ошибка

Почему Аральское море стало пустыней? Главная ошибка

MJANE MTATA AMKOMALIA WAZIRI SLAA SOMA HAPA UNIAMBIE UNAONAJE, NMEJUA WAZIRI UMEKUJA UTAONGEA MAMB..

MJANE MTATA AMKOMALIA WAZIRI SLAA SOMA HAPA UNIAMBIE UNAONAJE, NMEJUA WAZIRI UMEKUJA UTAONGEA MAMB..

МОЩНЫЙ ШТОРМ В ИТАЛИИ РАЗНËС СИЦИЛИЮ

МОЩНЫЙ ШТОРМ В ИТАЛИИ РАЗНËС СИЦИЛИЮ

Kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi Z'bar zaanza kurindima mahakamani | GUMZO UPDATES

Kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi Z'bar zaanza kurindima mahakamani | GUMZO UPDATES

WAKILI MADELEKA:POLICE KULINDA UWANJA MBEYA CHADEMA WASIFANYE MKUTANO NI MATUMIZI MABAYA YA AKILI

WAKILI MADELEKA:POLICE KULINDA UWANJA MBEYA CHADEMA WASIFANYE MKUTANO NI MATUMIZI MABAYA YA AKILI

5 ЗАГАДОЧНЫХ ЛАБИРИНТОВ, В СУЩЕСТВОВАНИЕ КОТОРЫХ НИКТО НЕ ВЕРИТ

5 ЗАГАДОЧНЫХ ЛАБИРИНТОВ, В СУЩЕСТВОВАНИЕ КОТОРЫХ НИКТО НЕ ВЕРИТ

Mfanyabiashara Mbeya 'Amvunja Mbavu' Rais Magufuli

Mfanyabiashara Mbeya 'Amvunja Mbavu' Rais Magufuli

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com