MAJALIWA AIBUKIA KWENYE MICHIKICHI
Автор: MOA Online
Загружено: 2020-02-22
Просмотров: 214
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KASSIM MAJALIWA, ameeleza kuridhishwa na kazi ya uzalishaji wa miche na mbegu bora za michikichi inayofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, TARI, katika kituo cha utafiti wa zao la michikichi cha Kihinga kilichopo wilayani Kigoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: