Ole Sendeka abanwa na Spika, achomoa hoja, amvaa Waziri 'anamuuzia Rais mbuzi kwenye gunia'
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-06-20
Просмотров: 15417
Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka amejikuta katika wakati mgumu bungeni leo katika kutoa tafsiri za sheria mbele ya Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2022/2023, jijini Dodoma leo. Sendeka alikuwa akitumia vifungu vya sheria kupinga zoezi linaoendelea Loliondo na Simanjiro la uhifadhi kwa baadhi ya maeneo hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: