Kilimo cha Miti,Tengeneza Milioni 250 Kwa Muda Mfupi
Автор: TFS -Tree Seed Production
Загружено: 2018-01-18
Просмотров: 13111
Katika video hii fupi ya Dk 25 utaweza kufahamu yafuatayo;
1) Kutumia mtaji mdogo kupata faida kubwa
2) Kuzifahamu fursa zinazopatikana kupitia kilimo cha miti
3) Utapata maelezo ya kina ya namna ya kuandaa shamba la miti
4) Utafahamu wapi utapata mbegu bora za Miti, Wataalamu, na ushauri/mafunzo ya namna ya kuendesha kilimo hiki.
5) Utajifunza kwa kuona mifano halisi ya mashamba ya miti yaliyopo maeneo mbalimbali nchini
Wasiliana Nasi Kupitia,
EMAIL: [email protected]
SIMU: +255 626578465 / +255626 578472
WEBSITE: www.ttsa.go.tz
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: