MAOMBI YA ASUBUHI 2026. SHUKRANI, TOBA, ROHO MTAKATIFU, KIBALI & ULINZI. SHILO MAOMBI.
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 32
Karibu kwenye maombi ya asubuhi ya leo. 🙏
Anza siku yako ukiwa mbele za Mungu kwa sala, shukrani na kumkabidhi Bwana mipango yote ya siku hii. Katika maombi haya, tunamwomba Mungu atutangulie, atulinde, atupe amani ya moyo, nguvu, hekima na baraka katika yote tutakayofanya.
#maombi #maombiyasiku #mungukwanza #maombiyaasubuhi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: