✅️VIWANJA VITAMU KULIKO VYA
Автор: Aisam Property
Загружено: 2024-01-26
Просмотров: 3094
#realestate #investment #kigamboni #africancity #hati #house #land #makazi #hatimiliki #property
💥💥💥MRADI WA VIWANJA MBANDE TAMBANI MJINI WAFUNGULIWA KWA KISHINDO KIZITO.👇👇👇👇👇
#realestate #hatimiliki #investment #hatisafi #property
JE Unahitaji viwanja vizuri vya kujenga na kuamia Da es salaam?
Tumefungua mradi mpya Uliopo Mbande Tamabani katika Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam.
Viwanja vimepimwa na vimepangiliwa kwa utaratibu wa mipango miji pia viwanja vipo kwenye #makazi ya watu ambapo ukinunua unajenga na kuamia.
Ukubwa wa viwanja ni Ft 40/50 pia vipo vyenye ukubwa wa Ft 80/50, Ft 80/100.
#ukubwa wowote unaoutaka unaupata na hakuna ubabaishaji wowote.
Hakuna changamoto yoyote ya #mafuriko
kwani viwanja vipo kwenye eneo tamabarare lisilofikiwa na maji kipindi cha #masika na ardhi yake ni ya Kichanga.
Bei kwa ft 40/50 ni Tsh. Milioni tatu na laki Tano tu (TSH. 3,500,000/=) kama utahitaji kulipa kwa awamu utaruhusiwa kutanguliza nusu kisha kiasi kinachobaki utamalizia kwa muda wa miezi 2 hadi 3 hakuna riba wala dhamana.
Jinsi ya kufika kama unatokea Kariakoo panda gari zinazoenda KISEWE kisha ukifika #MBANDE mwisho tupigie simu ili tuje tukuchukue kwa usafiri wetu wa ofisi.
#Viwanja #vimepimwa na vina #hatisafi usisubiri viishe ndipo upige simu njoo sasa kwani Viwanja vinakumbia sana na vimebaki vichache mno.
#realestate #property #investment #hatimiliki #kigamboni #africancity #hati #house #land
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: