Utatuzi wa hoja 5 za Muungano ni usanii - Mwanasheria Othman Masoud
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2020-10-18
Просмотров: 34986
Siku moja baada ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutangaza kwamba zimekamilisha utatuzi wa hoja tano za Muungano zilizowasilishwa kwenye Kamati ya Pamoja ya Muungano, aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kilichofanyika kwenye utatuzi huo hakijibu hoja za msingi za Wazanzibari na badala yake ni usanii mtupu. Msikilize hapa na kisha weka maoni yako.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: