ASKOFU NIWEMUGIZI ASEMA YUKO TAYARI KUITWA MCHOCHEZI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2017-09-27
Просмотров: 38011
Askofu wa Kanisa Katoliki Ngara Severine Niwemugizi amemshauri Rais John Magufuli kuhakikisha katiba mpya inapatikana ili kulinda mazuri anayofanya.
Askofu Niwemugizi ameyasema hayo Septemba 27 wakati akifungua mkutano wa asasi wa kujadili kwanini tunahitaji katiba uliozokutanisha asasi za kiraia zaidi ya 80.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: