Mwandishi wa Azam TV anaripoti kutoka Tunisia kuelekea mechi ya Esperance dhidi ya Simba
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-24
Просмотров: 830
KUTOKA TUNISIA: “Hapa Tunisia kulikuwa na mafuriko”
Mwandishi wa #AzamTV @akidakilango anashusha dondoo za kile kinachojiri jijini Tunis nchini Tunisia kuelekea mechi ya leo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Akida ameelezea tukio linalotajwa kuwa baadhi ya wachezaji wa Simba kukwama kwenye “lift”
Simba ipo Tunisia kucheza dhidi ya Esperance de Tunis.
Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#SimbaSC #CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: