TUNDU LISSU AUTAKA UCHAGUZI MKUU ATAKA KUTOKA GEREZANI
Автор: WANANCHI TV
Загружено: 2025-07-01
Просмотров: 1842
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, ameendelea kutoa utetezi wake mbele ya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa kuwekwa kwake mahabusu kwa zaidi ya siku 90 kunakiuka misingi ya haki hasa ikizingatiwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu.
Lissu ameonya kuwa kumweka kizuizini kiongozi wa chama kikuu cha upinzani katika kipindi hiki nyeti kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: