TAZAMA IGP WAMBURA ALIVYOKABIDHI UENYEKITI WA MAJESHI YA POLISI SADC
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-06-05
Просмотров: 16853
DAR ES SALAAM: TANZANIA imeikabidhi rasmi Malawi uenyekiti wa Kamati ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya kumaliza kipindi chake cha uongozi wa mwaka mmoja.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Juni 5, 2025, jijini Dar es Salaam, katika mkutano wa 30 wa wakuu wa majeshi ya polisi wa SADC, uliowakutanisha viongozi wakuu wa vyombo vya polisi kutoka nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: