Wewe ni wa Milele – Powerful Swahili Worship Song
Автор: Chemchemi ya neema
Загружено: 2025-11-15
Просмотров: 944
Karibu usikilize wimbo huu wa kuabudu wenye nguvu unaoitwa “Wewe ni wa Milele” — wimbo wa moyo unaomtukuza Mungu kwa utukufu wake usiopimika.
Katika nyimbo hii, tunakiri kwamba Mungu ni wa milele, hakuna mwingine kama Yeye. Sauti laini, muziki wa utulivu, na maneno yenye upako vitakupeleka katika uwepo wa Mungu.
🙌 Tafakari, omba, na uabudu pamoja nasi.
👉 Usisahau kusubscribe, kulike, na kushare ili ujumbe huu wa injili uwafikie wengi zaidi.
📌 Lyrics Highlights:
“Wewe ni wa milele, hakuna kama Wewe
Utukufu wako waja, milele na milele…”
🎧 #SwahiliWorship #GospelMusic #WeweNiWaMilele #WorshipSong #PowerfulWorship #PraiseAndWorship #GospelVibes #ChemichemiYaNeema #Kitokololo #WorshipInSpirit #NyimboZaKuabudu #AfricanGospel
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: